Jump to content

Hong Kong

From Wikimania 2013 • Hong Kong
This page is a translated version of the page Hong Kong and the translation is 90% complete.
Outdated translations are marked like this.

Hong Kong (Chinese characters: 香港),) mara nying hujulikana kama HK au HKG, ambayo ni Jiji lenye hadhi ya Taifa na ni moja ya maeneo mawili maalum ya kimkoa yenye kujitegemea kiutawala (SARs)ya Jamhuri ya watu wa China (PRC).

Jiji hili lipo upande wa kusini mwa nchi ya China,Mto lulu wa Delta,na inapendezeshwa na bahari ya china upande wa kusini mwa bahari ya pacific mwelekeo wa mashariki. na ina eneo la kilo meta za mraba 1,104, Hong kong in jumla ya wakazi wanaofikia milioni saba, Inafanya kuwa miongoni mwa Taifa miongoni mwa manne duniani

Wakati wa British Hong Kong|Zama za Kikoloni nchi hiyo wakati ikiwa chini ya utawala wa Kiingereza baadhi ya wakimbizi kutoka nchi mbalimbali duniani walihifahidhiwa hapo. matokeo ya kiutamaduni, mara nying ilikuwa ikiitwa kama makutano ya Mashariki na magharibi kulinda jadi ya kichina, dini mbalimbali na vikundi vya kimaadili katika mising ya amani. Mfumo wa sheria wa kiingereza na kiserikali postive non-interventionism sera za kiuchumi zikiongozwa na Hong Kong ndizo zilizoifanya kuwa miongoni mwa sehemu muhimu ya biashara kiamataifa, kama ilivyo ni kitovu pia cha masuala ya usafiri na maarufu kwa shughuliza utalii.

Sehemu ambayo Mashariki inakutana na Magharibi

Msikiti wa Kowloon

kwa asili kilikuwa kiji cha uvuvi cha himaya ya China, Hong Kong na ndipo ilpobadilishwa na utawala wa himaya la koloni la Kiingereza kutokana na vita ya Opium. Utulivu, Usalama na mfumo wa utawala wa mfumo wa himaya wa Kiingereza uliibadilisha kabisa Hong Kong na kuwa kituo cha biashara cha kimataifa. jambo hili liliwavutia sana watu kutoka nchi mbalimbali duniani kuja na kuishi Hong Kong, na kuingiza utamaduni wao, dini na aina ya vyakula.

Karibu ya asilimia 95% ya watu wa Hong Kong wana asili ya China na waliobaki 5% ikiwa ni pamoja na watu wa india, Pakistani, Wa-Nepal, na wavietinam; kuna Waingereza, Wamarekani, wa canada, wajapani, na wakorea ambao karibu wote wanafanya kazi za biashara pamoja na tasnia ya kifedha; inakadiriwa takriban watu 252,500 watu kutoka indonesia na uphiolipino ambao wanahudumu Hong Kong mpaka kufikia mwaka 2008.

Dini kubwa kabisa ni wabudhist, Taoism, Confucianism, na ukiristu; wakristu karibu wako sawa na wamegawanyika katika makundi ya Wakatolic na waprostanti. pia Sikh, waislamu, wayahudi, Hindu na wabahai na wote hawa wanaheshimiana sana kila mmoja. Mwingiliano kidogo baina ya watawala wa kiinigereza dhidi ya tamaduni za jumuiya ya kichina kuruhusu wapagani wa kichina na tamaduni zingine kukubaliana miongoni mwao kwa raia wa kawaida pamoja na wageni wahamiaji wakati wa matamasha ya kichina kama vile [[w|mid-Autumn Festival}} na Tueng Festival, wakati wa maadhimisho na kazi za kiuhusiano ambalo hufanyika ndani ya jiji hilo.

Jiji la Victoria, Hong Kong mwaka 1860-65

Kitovu cha kimkoa

Uwanja wa ndege wa Kai Tak katika jiji la Kowloon, ulichukuliwa kabla hata ya kufungwa mwaka 1998
Kwai Tsing Container Terminal, ambayo kwa sasa ndio bandari kubwa miongoni mwa bandari tatu barani Asia kwa miongo kadhaa iliyopita.

Vifaa na ufanyaji biashara siku zote umeifanya Hong Kong kuwa mji wa kihistoria tangu kuanzishwa kwake. kwa wastani, wazo lililoanzishwa katika karne ya 19 na serikali kiokloni lilikuwa ni kujenga bandari ya kuingizia mizigo kati ya himaya ya kiingereza na nchi za bara la asia, hasa katika nchi ya china. Kuzaliwa kwa Hong Kong lilikuwa ni aao la biashara ya kimataifa, na Hong Kong imeendelea kukua na kupata fursa muhimu za biashara ya kimataifa.

haikuchukua muda mrefu mara tu baada ya vita kuu ya dunia kumalizika, Hong Kong ilifanikiwa kupata hadhi ya kisiasa na kisheria ukilinganisha na majirani zake. Kuendelea kuwepo kwa kutokubaliana baina ya nchi ya China na Taiwan kuliifanya Hong Kong kupiga hatua katika biashara ya usafir na biashara baina ya nchi zote mbili. Hadhi ya Hong Kong kama kituo cha bandari huru ya kusaidia kuendesha maendeleo ya uchumi wake katika kiwango kikubwa kabisa, na matokeo hayo yafurahisha si tu kwa upande wa Hong Kong peke yake bali pia katika eneo zima la bara Asia mashariki.

mnamo mwaka 1989,Rose Garden Project ilitangazwa rasmi, kuathiri ujenzi mpya wa uwanja mpya wa ndege wa kimataifa na ambao pia ulihusisha miundo mbinu ya usafiri. ikizingatiwa kwamba mchoro mkuu ulikuwa wa karne ya 20 na ambao ungechukua takriban miaka minane, uwanja mpya wa ndege wa kimataifa wa Hong Kong International Airport, ambao ulijulikana kama ;

'Chek Lap Kok Airport', ulifuinguliwa rasmi tarehe 6 July 1998. Ni wa kisasa ambao uliwekwa jiwe la msingi na mamlaka ya anga ya Hong Kong ukilinganisha na uwanja wa zamani wa Kai Tak Airport,ambao ulikuwa ukivutia sana kwa kutua ndege mbalimbali.

siku hizi kuingia na kutoka Hong Kong ni kama vile keki ya amani, iwe ni kutoka katika nchi jirani ama hata kutoka nchizingine za mmbali. Hong Kong ni kitovu cha usafiri katika eneo la bara Aisa, ambapo ndege mbalimbali hutua kutoka kila eneo na kupafanya kuwa kiungo kikubwa, pia ni kiungo cha safari kwa kila eneo la Kangaroo Routes kati ya Australia na Ulaya, hasa katika falme za kiingereza. haya yote huifanya Hong Kong kuwa muda wote na wasafiri wengi kwa kiwango cha juu kabisa kwa usafiri wa ndege, kama vile Hong Kong na sydney, London, taipei, Tokyo na Beijing. Upatikanaji na kiwango cha usafiri wa maeneo yote ya karibu na hata maeneo mengine muhimu duniani kote.

Fedha za kigeni na nyinginezo

Dola ya Hong Kong (港幣 au HKD) ni fedha za hapohapo.nchini China, dola inajulikana kama yuen yuen (元) na huzungumzwa kama wanaume (蚊) kwenye. unaweza kudhani kwamba '$' alama hii hutumika kuashiria alama ya HKD vinginevyo inajumuisha miisho mingine(e.g. US$ na kusimama kama dola yetu). HKD pia hutumika katika nchi ya Macau kama hela ya nchi yao 1:1 ya kiwango.

dawati la kubadilisha fedha hupatikana palepale uwanja wa ndege, na hata katika mabenki mengine.Dola ya Australia,Dola ya Canada, Renminbi ya Chinese, Euro, Rupia ya India, Yen ya Japanese, Pataca ya Macau, Ringgit ya Malaysia, Dola ya New Zealand,Dola ya Singaporea,Randi ya Africa kusini, won ya Korea Kusini, Faranga ya Uswiss,Dola yaTaiwan, Baht ya Thai, Poundi ya UK& Dola ya USA zote hizo zinabadilishwa. exchanged.

Viwango vya kubadilisha fedha mpaka tarehe 25 Jan 2012 (www.xe.com)
Fedha Ikilinganishwa na HKD 1 Ikijumuishwa kwa HKD
Australian Dollar AUD 0.12242 HKD 8.16849
Canadian Dollar CAD 0.13028 HKD 7.67552
Swiss Franc CHF 0.119658 HKD 8.35715
Renminbi CNY 0.815998 HKD 1.22549
Euro EUR 0.09879 HKD 10.1224
Pound Sterling GBP 0.08280 HKD 12.0779
Indian Rupee INR 6.44689 HKD 0.15511
Japanese Yen JPY 10.0553 HKD 0.09945
South Korean Won KRW 145.006 HKD 0.00689626
Macau Pataca MOP 1.03000 HKD 0.970874
Malaysian Ringgit MYR 0.396655 HKD 2.52108
New Zealand Dollar NZD 0.15888 HKD 6.29408
Singaporean Dollar SGD 0.163270 HKD 6.12482
Thai Baht THB 4.06593 HKD 0.245946
Taiwanese Dollar TWD 3.85064 HKD 0.259697
US Dollar USD 0.12885 HKD 7.76106
South African Rand ZAR 1.02268 HKD 0.97782
Mashine ya fedha, kadi zinazokubalika

Mashine za kuchukulia fedha (ATM) ni maarufu sana maeneo ya mjini, kawaida zinakubaki kupokea malipo kwa njia ya kadi za visa, master card na njia ya UnionPay. Maestro na Cirrus card zina kubalika kama kawaida.Zinatoa kuanzia noti za $100, $500 mpaka $1000 inategemea na mahitaji. kadi za fedha zinapatikana katika kila duka kwa ajili ya manunuzi.Baadhi ya kadi fedha zinakubali kadi za mastercard na Visacard, na zingine zinakubali Amrican Express kama vile. Maestro debit cards hata hivyo hazikubaliani na mashine zingine. Sahihi na alama ya kadi huonekana waktai wa kutoa fedha katika mlangowa mashine kuonyesha kukubali.

Kadi za Octopus

'kadi ya octopus'baat daat tung kwenye Cantonese hutumika Hong Kong hasa katika kufanya malipo ya usafiri, zikiwa na maneno ya contactless smat debit card, inaweza kutumika katika kusoma malipo ya kulipia inaweza kusoma na kupeleka ushahidi wa fedha kwa abilia. Kadi hizo hutumika kwa usafiri wa Singapore, London na japan. Octopus in kubalika kufanya malipo katika kila maduka makubwa , hotels kama vile Mcdonard na Cafe de coral, na pia katika maeneio ya kupaki magari.

maelezo

Sehemu ya ukurasa wa habari umeainishwa katika ukurasa wa Wikitravel, ambao kimsingi unaandaliwa na Claus Hansen, Martin Cox, Samuel Chan, Edison Chua na Bill Ellett, watumiaji wa Wikitravel Globe-trotter, Timeo na Sumone10154, na wahariri wasiotumia majina, ambayo hutolewa chini ya leseni ya cc-by-sa 3.0.